Betway news teaser

Betway partial cashout offer

Tuna taarifa njema kwako wewe mteja wa Betway. Kwa sasa Betway wameleta huduma mpya ya cashout iliyoboreshwa ambayo inakuruhusu kuchukua sehemu tu au kiasi fulani cha pesa ulichoshinda katika mkeka wako/tiketi yako ya kubeti endapo hauna uhakika na jinsi mechi itakavyoisha. Sehemu ya pesa inayobakia inaendelea kuwepo katika karatasi yako ya kubeti ili kumalizia mechi ambazo tayari hauna uhakika nazo kama zitakupa faida katika dau uliloweka. Hivyo ndivyo wateja wa Betway wanabaki mchezoni ili kukusanya ushindi mkubwa kutoka Betway.

Betway partial cash out

Huduma hii ya kipekee kutoka Betway ni ubunifu mkubwa ambao umelenga kukupa usalama wa fedha yako uliyobeti endapo utaamua kusubiri mechi iishe kama kuna kila dalili ya mechi kumalizika bila machaguo yako kufanikiwa katika mkeka wako. Hivyo basi mteja anaweza kuufunga mkeka wake ili akusanye faida yake hata kabla kipenga cha mwisho cha mechi kupulizwa.

Jifunze zaidi kuhusu huduma zingine mpya za Betway kupitia ukurasa wetu wa Betway sports betting review, maana wamefanya mapinduzi makubwa sana katika tovuti yao ili kukujali wewe mteja.

Betway imesambaa nchi nyingi za Afrika hata hivyo kwa sasa huduma hii imewezeshwa katika nchi ya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tu.

Jinsi ya kutumia Partial Cashout

Ili utumie huduma hii ni lazima uwe umejisajili kama mmojapo wa wateja wa Betway na kabla ya kufanya chochote, tunakushauri kukumbuka kukomboa Betway welcome offer & free bets ili uzitumie katika mikeka yako.

Anza kwa kuingia katika akaunti yako ya Betway, tafuta mechi yenye alama ya Cash Out, ichague, weka ubashiri wako, na fuata maelekezo haya yafuatayo:

 • Bonyeza Menyu alaf Akaunti Yangu
 • Chagua Bashiri Zangu alaf nenda katika Bashiri Zilizo Wazi
 • Ukifika hapo nenda katika kitufe kilichoandikwa Partial Cash Out
 • Tumia kitufe cha kusogeza ku-Cash Out kiasi unachotaka

Vigezo na masharti

 • Kurudhiwa fedha kunapatikana kwa ajili ya bashiri pekee na mkusanyiko tu
 • Kurudishiwa fedha kutazuiliwa kama ubashiri wowote utakuw umezuiliwa
 • Endapo kiasi cha kurudishiwa pesa kitabadilika na ujumbe wa badiliko utaonekana katika ukarasa utakaotokea na mteja lazima akubali badiliko hilo
 • Betway ina haki ya kuondoa na kufuta ofa hii muda wowote bila kutoa taarifa
 • Betway haitoi hakikisho ya ofa ya kurudishiwa ofa
 • Iwapo tatizo la kiufundi litakuwa limeathiri ofa kurudishiwa fedha Betway ina haki ya kunyang’anya malipo
 • Utumiaji mbaya wa ofa hii unapelekea kupoteza uhalali kupata ofa hii
 • Malipo ya kiasi kilishobaki yatapigiwa hesabu ya awali pale mkeka utakapokamilika
 • Kipengele cha kurudhishiwa fedha hakipo kwa bashiri za bure
 • Partial cash out itatozwa kodi
 • Historia ya miamala itaonyesha kiasi na muda wa partial cashout

Hitimisho

Anza sasa kufurahia huduma hii adimu ya Betway ili kuilinda mikeka yakokwa kubaki mchezoni . Timu yetu imekuandalia muongozo mzuri zaidi wa kuperuzi tovuti ya Betway endapo unapata tabu kuitafuta ilipo ofa hii. Kwa maelezo zaidi wasiliana na watoa huduma wa Betway. Kama unataka kujua taarifa mpya katika ulimwengu wa kubeti basi usisite kutembelea ukurasa wetu wa betting news 2023.

About the author

Timoth is a specialized sports journalist with focus on delivering a well-researched content to support our site viewers on how they can leverage several writings offered by www.betting-sites.africa including bookmaker reviews, news, betting strategies, mobile app reviews and many more. When it comes to data analytics and data mining, Timoth is among our top talented writer who has invested his time on applying latest technologies to give out the finest digital contents so that Betting sites Africa stay ahead in sharing content to our esteemed clients who has been in lookout for right information regarding African betting market.

previous article
1xbet Casino Grand Tour Offer
next article
Bet365 Tennis Retirement Offer