Betway news teaser

Betway Chomoka odds

Betway wanakuletea promosheni ya msimu wa mpya wa soka wa 2022/23 ambapo utaweza kuingia katika droo ya kupata zawadi mbalimbali za kutumia nyumbani kwako kama utachagua kati ya mechi 5 walizoorodhesha katika ukurasa wao wa CHOMOKA ODDS kutoka kwa ligi kubwa zaidi za kandanda ulimwenguni. Weka ubashiri wa matokeo ya mchezo wowote ule kati ya michezo 5.

Betway chomoka na odds

Taarifa nzuri ni kwamba, ofa hii ipo kwa ajili ya mteja yoyote wa Betway, yaani mteja mpya na mteja asiye mpya. Unatakiwa kujikusanyia pointi nyingi zaidi kupata zawadi hizi. Zawadi ndogo ndogo zitashindaniwa kila wiki kwa muda wa siku 60 za mwanzo na zawadi kubwa ya seti ya vitu vya nyumbani itapewa kwa mshindi aliyeongoza katika ubao wa wanaoongoza.

Endapo ukifanikiwa kufanya ubashiri wako wa matokeo ya Mechi (1X2), basi jumla ya uwezekano wako (yaan odds) utahesabiwa na kuhifadhiwa kama pointi zinazowezekana za ubao wa wanaoongoza. Jinsi unavyoongeza kuchagua ubashiri wako kwenye betslip yako na kuweka dau, pointi nazo zitaongezeka maradufu.

Kama ubashiri wako ni sahihi, basi uwezekano (yaan β€œodds”) wa jumla wa chaguo zako utaongezwa kwa jumla ya pointi zako kwenye ubao wa wanaoongoza – mara mbili ikiwa ulichagua kuweka kamari kwenye chaguo zako.

Ikiwa utabiri wako wowote si sahihi, uwezekano wa jumla wa chaguo zako utatolewa kutoka kwa jumla ya pointi zako kwenye ubao wa wanaoongoza. Ikiwa ulichagua kuweka dau kwenye chaguo zako, odd zako zote zitapunguzwa kwa nusu na kukatwa kutoka kwa hesabu yako ya jumla kwenye ubao wa wanaoongoza.

Soma zaidi kuhusu huduma za Betway na utofauti wake na wabetishaji wengine katika bara la Afrika kupitia ukurasa wetu wa Uchambuzi wa Betway.

Jinsi ya kushiriki

Lazima uwe umejisajili na Betway ili kushiriki promosheni hii. Kabla hatujakueleza zaidi namna ya kushiriki katika hii promosheni komboa Betway registration bonus kwa kufuata vigezo na masharti.

Ifuatavyo ndio namna ya kushiriki promosheni hii:

 • Jisajili katika Betway kama wewe ni mteja mpya na ingia katika akaunti yako.
 • Tembelea kurasa wa promosheni hii na bonyeza Ratiba ya mechi
 • Chagua ubashiri wako (1×2) kati ya mechi tano zilizo orodheshwa hapo.
 • Bonyeza Chagua, weka dau lako, fanya ubashiri.

Fuatilia msimamo wa pointi zako katika ubao wa wanaongoza. Kumbuka unaweza fanya ubashiri mara moja tu kwa wiki na hautweza kubadilisha baada ya kufanya ubashiri.

Zawadi

Betway ni mtandao wa kimataifa kwa hiyo unaweza kukutana na ofa kama hii nchi tofauti za Afrika, kwa hiyo usikose fursa ya kupata zawadi nono. Endapo kama utaongoza katika ubao wa wanaoongoza kuna zawadi kubwa zitakazotolewa mwishoni mwa ofa hii katika nchi tofauti za Afrika, kama ilivyoorodheshwa hapa:

 • Ghana πŸ‡¬πŸ‡­ A Zawadi ya 250,000 GHS
 • Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ Zawadi ya 500,000 N
 • Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ Zawadi ya 300,000 KSH
 • Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Zawadi ya seti ya vitu vya nyumbani
 • Zambia πŸ‡ΏπŸ‡² Zawadi ya gari jipya

Si zawadi hizo tu bali kuna zawadi zingine nyingi zitakazo tolewa kipindi chote cha promosheni kama vile beti za bure, simu, pesa n.k.

Vigezo na masharti

 • Wateja wote wa Betway wanaweza shiriki.
 • Ofa hii itaanza tarehe 5 Agosti 2022. Wateja wote watakaoshiriki nje ya tarehe ya ofa hii hawatafuzu.
 • Lazima ubashiri (1×2) kati ya mechi zilioorodheshwa katika ukurasa wa promosheni.
 • Unaweza Bashiri kuanzia mechi moja mpaka tano. Unavyoongeza kubashiri na ndio pointi zako zinaongezeka.
 • Pointi zitaongezeka maradufu kama ubashiri wako ni sahihi na kinyume chake kama utakosea kubashiri.
 • Unaruhusiwa kuweka dau lolote ila lazima ubashiri kuwekwa kabla ya mechi ya kwanza kuanza.
 • Mkeka wa kwanza katika wiki pekee ndio utashiriki promosheni hii.

Hitimisho

Kama wewe ni mteja wa Betway usikose kujikusanyia zawadi nyingi msimu huu mpya wa 2022/23 katika ligi mbalimbali za soka duniani ikiwemo zawadi kubwa itakayotolewa mwishoni mwa msimu kwa yule atakaeongoza ubao wa wanaoongoza. Kumbuka ofa hii ni ya muda maalum hivyo weka ubashiri ndani ya muda uliotajwa katika vigezo na masharti. Betway wana haki ya kufuta ushindi wa zawadi yako kama hautafuata masharti na vigezo. Jitahidi kusoma zaidi vigezo na masharti yote yaliyoorodheshwa katika ukurasa wa hii ofa.

About the author

Timoth is a specialized sports journalist with focus on delivering a well-researched content to support our site viewers on how they can leverage several writings offered by www.betting-sites.africa including bookmaker reviews, news, betting strategies, mobile app reviews and many more. When it comes to data analytics and data mining, Timoth is among our top talented writer who has invested his time on applying latest technologies to give out the finest digital contents so that Betting sites Africa stay ahead in sharing content to our esteemed clients who has been in lookout for right information regarding African betting market.

previous article
Frapapa JetX Drop Promotion
next article
Paripesa Accumulator Offer