betting-sites.africa
Betika betting site News

Betika Kanga Moko Bando ofa

Je wewe ni mhanga wa mikeka inayochanika? Tuna taarifa nzuri kwako. Betika wanakuletea ofa kabambe ya kukurudishia salio lako kwa mkeka uliochanika. Hii ni moja ya ofa maalum kutoka Betika inayoendeshwa kila siku ya wiki yaani Jumatatu mpaka Ijumaa ambapo kila mteja wa Betika anapata fursa ya kurudishiwa 50% ya dau lake endapo tu tiketi yake itakuwa imepotezwa kutokana na kukosea ubashiri wa mechi.

Vipo vigezo kadhaa vya kukuwezesha kufuzu kupata ofa hii ikiwemo kuweka ubashiri wa mikeka kati ya saa moja asubuhi mpaka saa nne asubuhi. Tafadhali, tunakushauri usome kwa umakini vigezo na masharti ya hii ofa kabla hujashiriki ili kuepuka kukosa sifa ya kupokea ofa hii.

Unaweza kupata ofa katika nchini zifuatazo:

Tembelea ukurasa wetu wa Betika bonus kuziona ofa zingine zinazotolewa na Betika katika nchi mbalimbali za Afrika.

Jinsi ya kushiriki

Pakua na jifunze jinsi ya kutumia programu ya simu ya Betika kupitia ukurasa wetu wa Betika Mobile app review. Betika imekurahisisha usomaji wa kina vigezo na masharti ya ofa hii kupitia program hii ya simu. Kumbuka kila mshiriki lazima afuate vigezo na masharti yafuatayo.

Vigezo na masharti

Zawadi ya ofa

Kama umefanikiwa kutimiza vigezo masharti basi tegemea kupata 50% ya dau uliloweka kama ifuatavyo

Hitimisho

Kuwa mjanja kurudisha pesa yako sasa kama umechana mkeka wako leo. Betika wanakupa nafasi nyingine tena ya kutengeneza pesa endapo leo umeamka na bahati mbaya ya ubashiri wa mechi katika mkeka wa awali. Ni kwa dau dogo sana unaweza kuwa mmoja wa wanufaika wa fursa hii. Changamka sasa na ushiriki katika ofa hii. Soma zaidi kuhusu mbinu za kuweka mkeka ambao hauwezi kuchanika kupitia ukurasa wetu wa best football betting strategies kupata uhakika wa ushindi wa mkeka wako wa pili.

About the author

Timoth is a specialized sports journalist with focus on delivering a well-researched content to support our site viewers on how they can leverage several writings offered by www.betting-sites.africa including bookmaker reviews, news, betting strategies, mobile app reviews and many more. When it comes to data analytics and data mining, Timoth is among our top talented writer who has invested his time on applying latest technologies to give out the finest digital contents so that Betting sites Africa stay ahead in sharing content to our esteemed clients who has been in lookout for right information regarding African betting market.

Exit mobile version