
Betika Kanga Moko Bando ofa
Je wewe ni mhanga wa mikeka inayochanika? Tuna taarifa nzuri kwako. Betika wanakuletea ofa kabambe ya kukurudishia salio lako kwa mkeka uliochanika. Hii ni moja ya ofa maalum kutoka Betika inayoendeshwa kila siku ya wiki yaani Jumatatu mpaka Ijumaa ambapo kila mteja wa Betika anapata fursa ya kurudishiwa 50% ya dau lake endapo tu tiketi yake itakuwa imepotezwa kutokana na kukosea ubashiri wa mechi.

Vipo vigezo kadhaa vya kukuwezesha kufuzu kupata ofa hii ikiwemo kuweka ubashiri wa mikeka kati ya saa moja asubuhi mpaka saa nne asubuhi. Tafadhali, tunakushauri usome kwa umakini vigezo na masharti ya hii ofa kabla hujashiriki ili kuepuka kukosa sifa ya kupokea ofa hii.
Unaweza kupata ofa katika nchini zifuatazo:
- Ghana π¬π
- Tanzania πΉπΏ
Tembelea ukurasa wetu wa Betika bonus kuziona ofa zingine zinazotolewa na Betika katika nchi mbalimbali za Afrika.
Jinsi ya kushiriki
- Tembelea tovuti ya Betika na ujisajili kama wewe ni mteja mpya au ingia katika akaunti yako ya Betika kama si mteja mpya.
- Weka ubashiri wa wenye dau la chini kulingana na vigezo na masharti. Endapo kama hauna salio basi weka pesa kwanza katika akaunti yako.
- Hakikisha umeweka ubashiri wenye zaidi ya matukio mawili kwa Betika Ghana π¬π au zaidi ya matukio matatu kwa Betika Tanzania πΉπΏ yenye jumla ya odds 3.99 au zaidi
- Ubashiri wako lazima uwe umeweka kati ya saa moja asubuhi na saa nne asubuhi.
- Utapata sifa ya kwanza ya kushiriki endapo mkeka wako ulioweka katika muda huo uliotajwa hapo juu utakuwa umechanika kwa sababu ya kukosea ubashiri wako.
Pakua na jifunze jinsi ya kutumia programu ya simu ya Betika kupitia ukurasa wetu wa Betika Mobile app review. Betika imekurahisisha usomaji wa kina vigezo na masharti ya ofa hii kupitia program hii ya simu. Kumbuka kila mshiriki lazima afuate vigezo na masharti yafuatayo.
Vigezo na masharti
- Ofa hii ni kwa ajili ya mkeka wako wa kwanza katika siku na muda halali wa kushiriki.
- Ubashiri uliohairishwa utakuwa ubatili kupokea ofa hii
- Bonasi itatoka baada ya machaguo yako ya mechi kutekelezwa sambamba na vigezo na masharti husika.
- Bonasi iliyotolewa inaweza tumika katika michezo ya kabla kuanza mechi na iliyo mubashara tu.
- Unapotumia bonasi yako mteja lazima aweke ubashiri wenye jumla ya odds 9.99
- Ofa hii inaweza kupatikana katika tovuti, programu ya simu na USSD za Betika
- Betika ina haki ya kubatilisha ushindi wa miamala yote kama kuna ukiukwaji wa sheria zilizowekwa kwa ajili ya ofa hii.
- Utapokea bonsai yenye thamani ya 50% tu ya dau lako endapo utakidhi vigezo na masharti.
- Bonasi hii itakuwa batili yakipita masaa 48
Zawadi ya ofa
Kama umefanikiwa kutimiza vigezo masharti basi tegemea kupata 50% ya dau uliloweka kama ifuatavyo
- Ghana π¬π – 50% ya dau lako mpaka 100 GHC
- Tanzania πΉπΏ – 50% ya dau lako mpaka 10,000 TZS
Hitimisho
Kuwa mjanja kurudisha pesa yako sasa kama umechana mkeka wako leo. Betika wanakupa nafasi nyingine tena ya kutengeneza pesa endapo leo umeamka na bahati mbaya ya ubashiri wa mechi katika mkeka wa awali. Ni kwa dau dogo sana unaweza kuwa mmoja wa wanufaika wa fursa hii. Changamka sasa na ushiriki katika ofa hii. Soma zaidi kuhusu mbinu za kuweka mkeka ambao hauwezi kuchanika kupitia ukurasa wetu wa best football betting strategies kupata uhakika wa ushindi wa mkeka wako wa pili.